Kwa mujibu wa Shirika la habari la Hawza, Ayatollah Khamenei alijibu swali la kisheria kuhusu "Kupatwa kupatwa kwa sehemu ya jua na Mwezi" lililotolewa na wapenzi wahudhuriaji.
Swali: Iwapo kupatwa kwa Jua au Mwezi ni kudogo (sehemu tu ya jua au Mwezi) kiasi kwamba kunaweza kuonekana kwa (macho yasiyokuwa ya kawaida, kwa maana) chombo maalum cha kuona mbali, katika hali hii, je, Swala ya A’yat inakuwa ni wajibu?
Jibu: Kwa kujengea katika Ihtiyati wajibu (Tahadhari ya wajibu), Swala ya A’yat inatakiwa kuswaliwa.
Maoni yako